IFAHAMU KARANGA KIUNDANI ZAIDI

Karanga NI nafaka inayopatikana kwenye makundi mbalimbali ya chakula Kamaprotein,wanga,mafuta, vitamin n.k , 
lakini kikubwa zaidi imeonekana saana kwenye protein,
Faida zake NI✍️
1.husaidia kwenye ukuaji wa mtoto
2.huzalisha cell kwa wingi katika mwili sababu Ina virutubisho aina nyingi
3.husaidia kuupa mwili nguvu❤️🙏
Karibu SHOLA PRODUCTS ujipatie Karanga aina mbalimbali0674928544  au kupitia app CHAP FOOD pia waweza pata huduma Zetu
#ulipo tupo#shola products

No comments