Peanut butter ni MOJA ya vitu muhimu Sana katika chakula.Hupendwa na Rika zote hasa watoto na wazee. Ukiacha Radha yake tamu no chakula chenye afya na nguvu
                       


Faida za kula peanut butter 

1.INA KIASI KINGI CHA FAIBA
Peanut butter Ina kiasi KINGI Cha faiba ambacho husaidia katika mmenge'enyo wa chakula.



2.INA MAFUTA ASILI NA SAFI
Peanut butter Ina mafuta mengi asili"healthy fats" ambayo husaidia vitu vingi katika mwli wa binadamu Kama kuuwe sawa mwili. Uwingi wa mafuta haya huwatisha WATU na kuogopa  kutumia.na sofa kuu ya haya mafuta hayagandi mwili na haya cholesterol yoyote.

3.INA VIINI LISHE VINGI.
Peanut butter Ina VIINI LISHE VINGI Kama vinavyopatikana kwenye protein,fats, vitamin E, magnesiums, Omega-3, potassium .husaidia kuukinga mwili dhidi ya magonjwa na pia kuimarisha mifupa na mishipa katika mwili


1 comment: